Wanaharakati kuendeleza kupinga ndoa za utotoni
Wanaharakati wa kupinga ndoa za utotoni kwa watoto wa kike pamoja na mimba za utotoni wamesema wataendelea kutoa elimu juu ya madhara ya ndoa hizo kwa jamii licha ya kuwepo pingamizi mahakani juu ya marekebisho ya sheria hiyo.
