Wanafunzi wa vyuo vilivyofutwa, kuhamishwa

Mkurugenzi wa Usajili na Ithibati NACTE, Bi. Twilumba Mponzi

Baraza la Taifa ya Elimu ya Ufundi (NACTE) limewatoa hofu wanafunzi waliokuwa katika vyuo vilivyofutiwa usajili na baraza hilo, na kusema kuwa watahamishiwa katika vyuo vingine.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS