Diamond Platnumz

Msanii Diamond Platnumz amefunguka na kusema kuwa zamani kabla ya yeye kutoka kwenye muziki wasanii wa kuchana walikuwa na thamani kubwa na walikuwa wanafanya vizuri kwenye mauzo ya kazi zao ndiyo maana hata yeye alihamasika kufanya muziki huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS