Sheria hazijaweka ukomo wa kufanya siasa - Jebra
Mwanasheria Jebra Kambole amesema kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992 pamoja na Katiba ya nchi zinaruhusu shughuli za siasa pamoja na maandamano ila kwa kufuata utaratibu wa kisheria.
