Samatta kuivaa Lokomotiva Zagreb, Europa League
Shirikisho la Soka Barani Ulaya UEFA, limetangaza droo ya hatua ya mtoano ya Ligi ya Ulaya ijulikanayo kwa jina la Europa League ambapo jumla ya vilabu 44 vitapambana ili kupata vilabu 22 vitakavyotinga hatua ya makundi ya ligi hiyo.
