Washiriki Dance100 tambueni hili ni shindano

Jaji wa Dance100% Khalila

Jaji wa shindano la kuibua vipaji vya uchezaji nchini maarufu kama Dance100% linaloendeshwa na EATV, Khalila amewataka washiriki waliofanikiwa kutinga hatua ya robo fainali kutobweteka badala yake waongeze juhudi ili waibuke washindi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS