Majeshi Sudan kusini yalaumiwa kwa Unyanyasaji

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir

Mofisa wa ngazi ya juu wa umoja wa mataifa kitengo cha haki za binaadamu wamelishutumu jeshi la Sudan Kusini kwa mauaji ya kikabila na ubakaji yanayoendelea katika kipindi cha mapigano ya hivi karibuni katika mji mkuu wa Juba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS