Rais wa 2050 Tanzania, aibuka! Mtoto Yusuph Mohamed Nasoro mwenye miaka miwili na nusu wa mkoani Singida, baba yake anamuandaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ifikapo mwaka 2050. Read more about Rais wa 2050 Tanzania, aibuka!