Rais Barack Obama

Rais wa Marekani Barack Obama ameandika makala na kufafanua ni kwa nini yeye hujichukulia kama mtetezi wa usawa na haki za wanawake, ambapo anasema pia kwamba ni jukumu la wanaume wote kukabiliana na unyanyapaa dhidi ya wanawake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS