Arusha kuunda kamati ya kufuatiliwa wanafunzi hewa

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mrisho Gambo,

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mrisho Gambo,amesema kuwa ofisi yake itaunda kikosi kazi cha kufuatilia wanafunzi hewa katika shule za msingi na sekondari ili kubaini iwapo kuna tatizo hilo na kuchukua hatua za kisheria.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS