Watakiwa kuweka mifumo itakayowasaidia wanawake

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana Ajira, na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama,

Serikali imezitaka taasisi za elimu ya juu nchini kuweka mifumo itakayowasaidia kuwaandaa kitaaluma wanawake ili waweke kuwa wafanyakazi bora wanaoajirika na kujiajiri.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS