Rwanda kurahisisha utumaji fedha kutoka ughaibuni

Mchumi mkuu katika Wizara ya Fedha ya Rwanda Leonard Rugwabiza.

Serikali ya Rwanda imeanza kuchukua hatua kuhakikisha inapata vyanzo mbadala vya kufadhili maendeleo endelevu hususan kupitia mapato yatokanayo na fedha zinazotumwa na raia wake wanaoishi ughaibuni, badala ya kutegemea mikopo kutoka nje pekee.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS