Bei ya zao la chai mnada wa Mombasa yaongezeka Shamba la chai Bei ya zao la chai katika mnada wa Mombasa imeongezeka kwa mara ya kwanza wiki iliyopita, na kufufua matumaini kwa wakulima juu kuimarika kwa mapato katika mwaka huu wa fedha. Read more about Bei ya zao la chai mnada wa Mombasa yaongezeka