Tunasikitika kutengwa na serikali - Walemavu
Tanzania imeungana na nchi nyingine duniani katika ufunguzi wa wiki ya watu wasiosikia (viziwi), kwa lengo la kuangazia changamoto zao na namna ya kuzitatua ambapo wamelalamikia kitendo cha viongozi wa serikali kushindwa kuhudhuria uzinduzi huo.