SADC yagawanyika kuhusu meno ya tembo na faru
Nchi za Kusini mwa Afrika zimegawanyika kuhusu pembe za faru na meno ya tembo wakati Mkutano wa Kimataifa wa 17 wa Biashara ya Wanyama walio hatarini kutoweka na mimea ukianza wiki hii, Sandton, Jijini Johannesburg.