Magufuli azindua barabara ya Southern By-pass

Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta leo wamezindua barabara ya Southern By-pass iliyojengwa kwa lengo la kupunguza msongamano wa magari katika Jiji la Nairobi nchini Kenya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS