Mbunge Lema anusurika kutekwa, aokolewa na polisi Godbless Lema Mbunge wa Jimbo la Arusha Godbless Lema usiku wa kuamkia leo, amenusurika kutekwa na Majambazi eneo Makuyuni Wilayani Monduli akitokea Bungeni Dodoma. Read more about Mbunge Lema anusurika kutekwa, aokolewa na polisi