Jiji la Arusha kuwa la mfano Afrika Mashariki

Muonekano wa Jiji la Arusha

Viongozi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, wamesema wamekuwa na mikakati mbalimbli ya kimaendeleo hususani kwa upande wa utunzaji wa mazingira pamoja na miundombinu ili jiji hilo liwe la mfano Afrika Mashariki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS