Bodi ya Ligi yazifuta Polisi Tabora na Geita Gold Boniface Wambura - Mtendaji Mkuu Bodi ya Ligi Bodi ya Ligi Tanzania Bara imeziondoa kabisa katika orodha yake timu za Geita Gold Sports na Polisi Tabora kwa kushindwa kuwasilisha usajili wake kwa ajili ya kushiriki ligi daraja la pili msimu huu. Read more about Bodi ya Ligi yazifuta Polisi Tabora na Geita Gold