EATV AWARDS ni hatua kubwa kwa wasanii - One

One the Incredible

Msanii One the Incredible amesema kwa muda mrefu wasanii walikuwa wanahitaji changamoto zitakazosaidia kukuza muziki wao na kuupa heshima, hivyo ujio wa EATV AWARDS ni jambo kubwa kwao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS