JPM aagiza mashine za ukaguzi bandarini zipatikane
Rais Dkt. John Magufuli akifanya ukaguzi katika eneo la Gati la Mafuta la Kurasini KOJ.
Rais Magufuli katika ziara hiyo pamoja na mambo mengine ametoa miezi miwili kwa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kununua mashine nne za kukagulia mizigo bandarini (Scanning Machine).