Simba yaingia mafichoni kuiangamiza Yanga Jumamosi Klabu ya Simba ya Dar es Salaam imeingia rasmi kambini kujiandaa kwa ajili ya mchezo wa ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya mahasimu wao wakuu katika soka la Tanzania, Yanga SC. Read more about Simba yaingia mafichoni kuiangamiza Yanga Jumamosi