Bondia Thomas Mashali afariki dunia

Marehemu Thomas Mashali, enzi za uhai wake

Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Thomas Mashali amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kupigwa na watu wasiojulikana, maeneo ya Kimara Jijini Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS