Nimejisajili kushiriki tuzo za EATV - Alikiba Msanii Alikiba anayetamba na wimbo wake wa 'Aje' amesema kuwa ameshajisajili kushiriki katika tuzo za EATV AWARDS ambazo zinatarajiwa kufanyika mwezi Desemba mwaka huu, jijini Dar es Salaam. Read more about Nimejisajili kushiriki tuzo za EATV - Alikiba