Makosa ya kibinadamu yasababisha 80% ya ajali
Baraza la Usalama Barabarani nchini Tanzania, na wadau wengine wa usalama barabarani wameweka mikakati mbalimbali kupunguza ajali za zitokanazo na makosa ya binadamu ambayo huchangia asilimia 80 ya vyanzo vyote vya ajali za barabarani.