Sudani Kusini yakiri machafuko kuvuruga uchumi
Makamu wa Rais wa Sudan Kusini Taban Deng Gai amekiri kuwa machafuko yaliyoibuka miezi ya hivi karibuni yamezorotesha uchumi kwa kiwango kikubwa hali iliyopelekea taifa hilo kuwa katika hali ya umasikini mkubwa.