Wahariri waomba muda kujadili muswada wa habari
Jukwaa la Wahariri limehuzunishwa na hatua ya kamati ya bunge ya maendeleo ya jamii inayosisitiza kuendelea kuufikisha bungeni muswada tata wa habari ambao wadau wakiwemo wanahabari wameulalamikia kuwa na mapungufu yatakayodidimiza fani ya uandishi.

