Watu milioni 5 wakabiliwa na njaa nchini Somalia

Zaidi ya watu milioni tano nchini Somalia hawana chakula cha kutosha, na zaidi ya milioni moja kati yao wanahitaji msaada wa kuokoa maisha, amesema mkuu wa shirika la mpango wa chakula duniani WFP nchini Somalia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS