Serikali kutafiti kemikali za sumu katika viyoyozi
Serikali imeanza mchakato wa kukusanya takwimu za matumizi ya kemikali za sumu na kemikali mbadala zinazotumika katika bidhaa mbalimbali zitumikazo majumbani na katika shughuli za uzalishaji nchini.