Rais wa zamani wa Israel Shimon Peres afariki dunia. Waziri mkuu wa zamani wa Israel aliyewahi kuhudumu pia kama rais Shimon Peres amefariki dunia akiwa na miaka 93 baada ya kuugua kiharusi. Read more about Rais wa zamani wa Israel Shimon Peres afariki dunia.