Tunda aomba radhi mashabiki kwa tabia ya uzushi

Msanii Tunda Man amewaomba radhi mashabiki zake baada ya kuwa na skendo ya kuzusha mambo yasiyo ya kweli ikiwa ni pamoja na kutangaza kuwa ana'shoot' movie ya "Mama Kijacho" na kudai kuwa yupo na Riyama Ally na Mboto huku wasanii hao wakikanusha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS