Bongo Fleva wanashinda kwa kutumia 'dumba'
Jumapili hii timu ya mpira wa miguu ya wasanii wa Bongo Fleva ilitoana jasho na timu ya wasanii wa Bongo movie, lengo ikiwa ni kukusanya pesa za kuchangia waathirika wa maafa ya tetemeko la ardhi mkoani Kagera.