Waziri Lukuvi aagiza waliouza makaburi watimuliwe
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa William Lukuvi, amemuagiza Kamishna wa Ardhi Kanda ya Dar es Salaam, kuwafukuza kazi maafisa wote waliohusika na uuzaji wa viwanja vitatu katika eneo la Makaburi lililopo Tabata Kinyerezi, DSM