Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu uhaba wa dawa

Dkt. Mpoki Ulisubisya

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii nchini imelazimika kutoa ufafanuzi wa hali ya upatikanaji wa dawa nchini baada ya kuripotiwa kuwepo kwa upungufu mkubwa wa dawa katika Bohari Kuu ya Dawa (MSD).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS