Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu uhaba wa dawa Dkt. Mpoki Ulisubisya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii nchini imelazimika kutoa ufafanuzi wa hali ya upatikanaji wa dawa nchini baada ya kuripotiwa kuwepo kwa upungufu mkubwa wa dawa katika Bohari Kuu ya Dawa (MSD). Read more about Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu uhaba wa dawa