Mkude ajivunia safu ya ushambuliaji Simba
Nahodha wa Simba Jonas Mkude amesifia safu ya ushambuliaji wa timu hiyo, kuwa ni moto mkali katika kuelekea mpambano wao na watani zao wa jadi Yanga, Jumamosi Oktoba 1 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.