Dkt. Kalemani awasha moto Simanjiro
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani amemwagiza meneja wa Tanesco, mkoa wa Manyara Gerson Manase, kupeleka huduma za shirika hilo kwa wananchi vijijini, badala ya kukaa ofisini kuwasubiri wateja wawafuate.