Nchi 6 kushiriki kikapu Kanda ya Tano Jijini Dar
Nchi sita kati ya 11 zinatarajia kushiriki mashindano ya kanda ya tano ya mpira wa kikapu yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Oktoba mosi mpaka saba mwaka huu katika uwanja wa ndani wa Taifa jijini Dar es Salaam.