Hatuwaogopi Ndanda FC, tutawafunga tu - Mbao FC

Kikosi cha Mbao FC

Timu ya Mbao FC imeahidi kuchukua pointi tatu mbele ya Ndanda FC hii leo katika mchezo wa muendelezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara utakaopigwa katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS