Mombasa yasisitiza kukata ushuru wa makontena

Kati ya eneo la bandari ya Mobasa.

Kaunti ya Mombasa inaendelea kushinikiza pendekezo lake la kutoza ushuru kwa makontena yanayosafirishwa kutoka bandarini licha ya kuwepo na upinzani kutoka kwa wasafirishaji pamoja na serikali ya Kenya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS