Serikali kununua ndege nyingine mbili za abiria
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli, leo amezindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombardier Q400 zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa la Tanzania (ATCL), ili kuboresha safari za anga nchini.