WUSHU kuelekea China na Poland kushindana Kung-Fu
Timu ya taifa ya mchezo wa WUSHU inatarajia kuondoka mwanzoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu kuelekea nchini China na Poland kushiriki katika mashindano ya Kung-Fu yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Oktoba 13 mwaka huu.