Imebidi kuachana na Sam kulinda soka England: FA Sam Allardyce Chama cha soka nchini Uingereza FA, kimesema ilibidi kumfuta kazi kocha wa timu ya taifa ya nchi hiyo, Sam Allardyce, ili kulinda hadhi ya chama cha soka na mpira wa miguu nchini Uingereza. Read more about Imebidi kuachana na Sam kulinda soka England: FA