Tusidharau pesa ndogo tukitegemea kubwa - Jay Mo
Rapa Jay Mo ambaye sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa 'Pesa Madafu' amefunguka na kusema kuwa Watanzania hususani vijana wamekuwa na tabia ya kudharua pesa fulani ndogo au ambayo haina thamani na kutegemea kupata pesa kubwa zaidi.