Serikali yatakiwa kuboresha sera za madini na gesi Mkurugenzi Mkuu wa REPOA Dkt Donald Mmari Serikali imeombwa kuweka usimamizi mzuri wa sera na sheria za madini ili kuiwezesha Tanzania kunufaika na uwepo wa rasilimali ya gesi. Read more about Serikali yatakiwa kuboresha sera za madini na gesi