Nilikuwa maarufu kabla ya WhattsApp - Banana Zorro
Mkongwe wa bongo fleva Banana Zorro amesema hana mpango wa kufanya collabo na star yeyote hapa nchini na kuongeza kuwa hana shobo na umaarufu kwa kuwa yeye alikuwa maarufu kabla ya mtandao wa kijamii WhatsApp.