Waziri Mkuu aonya madiwani wasio waadilifu

Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kasim Majaliwa.

Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kasim Majaliwa amewataka madiwani kuwa waadilifu na waminifu katika kutekeleza majukumu yao mbalimbali ikiwemo kusimamia miradi ya maendeleo kwa ajili ya wananchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS