Rayvanny amfananisha Diamond Platnumz na pesa
Msanii kutoka WCB Wasafi Raymond a.k a Rayvanny amefunguka na kusema kuwa vitu vyenye majina mengi siku zote huwa ni hatari sana hivyo hata yeye anashindwa kumuelezea Diamond Platnumz kutokana na moyo wake wa upendo na kujali.