UNHCR, Afrika zafikia muafaka wakimbizi wa Rwanda
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR na ujumbe kutoka nchi za Afrika , pamoja na Muungano wa Afrika wameafikiana hatua za mwisho za kumaliza suala la muda mrefu la wakimbizi wa Rwanda baada ya miaka saba ya majadiliano.