Majimaji yaendelea kugawa sadaka ya point

Kikosi cha Majimaji

Timu ya Majimaji ya Songea imeendelea kuwa shamba la bibi kwa kugawa point baada ya leo kupigwa mabao 2-0 na Stand United katika uwanja wake wa nyumbani wa Majimaji mjini Songea.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS